Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Iringa (IRUWASA) Mhandisi David Pallanjo akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma.
Na.Deborah Lemmubi - Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Iringa (IRUWASA) Mhandisi David Pallangyo amesema kuwa Mamlaka hiyo inajivunia mafanikio katika eneo la TEHAMA kwa kufunga mita za malipo ya kabla (prepaid water meters) kwa wateja 6,752 na kuwa Mamlaka ya kuongoza nchini kwa kufunga mita nyingi za malipo kabla.
Mhandisi Pallangyo amesema hayo Jijini hapa, leo Februari 27 ,2023 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa shughuli na majukumu ya mamlaka hiyo.
Mhand.Pallangyo amesema kuwa ufungaji wa mita hizo za maji zimesababisha kwa kiwango kikubwa cha vyombo vya habari na malalamiko ambayo yalikuwa yakilalamikiwa hapo awali.
“Mamlaka imejitahidi kusaidia inafunga mita za malipo kabla kwa wanachi pamoja na baadhi ya taasisi ambayo kwa kiasi kikubwa zimesaidia malalamiko, na kuwafanya kuwaamini kuwa wanachotumia ni sahihi na wala hawaibiwi,
“Mamlaka inaendelea kuboresha hali ya upatikanaji wa maji ya kutosha sambamba na wadau mbalimbali katika vyanzo vya maji ili kutuma ujumbe na mazingira jambo ambalo umuhimu wake ni kuwa shida”.
Aidha Pallangyo ameeleza kuwa kiasi cha sh. bilioni 2 zimetumika kwa ajili ya miradi ya maji ya IRUWASA ambapo fedha hizo zitengwa kusaidia miradi ya maji inaendelea kuimarika na kuwafanya wakazi wa mkoa na tatizo la maji.
Amesema kuwa katika miradi hiyo pia kufungua fursa ya ajira zaidi ya 6400 za mikataba na kuzungumza pato la mtu mmoja na taifa huku kila mmoja na akiwa shahuku ya kufanya kazi kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.
Vilevile Mha.Pallangyo ameeleza kuwa IRUWASA imeweza kuvuka lengo la sera ya Maji na Ilani ya Chama tawala ya kutoa huduma ya elimu kwa mji wa Iringa na maeneo ya pembezoni inayowafikia wakazi hao asilimia 97.
Pia IRUWASA imefanikiwa kupata huduma ya maji Mjini Iringa amesema maeneo ya pembezoni kwa wastani wa saa 23 kwa siku.
“IRUWASA imefanikiwa kuongeza maduhuli (revenue collection) kwa huduma zilizotolewa kutoka wastani wa Tshs 770M/= (2020) kwa mwezi hadi 860M/= (2023) hivyo hali hii inaiwezesha IRUWASA kuweza kugharamia kwa kiasi kikubwa kikubwa cha taasisi".
Pamoja na hayo amesema IRUWASA imefanikiwa kiasi cha maji yasiyolipiwa (NRW) kwa upande wa Iringa Mjini kutoka wastani wa 24.6 (2020) hadi wastani wa 22.52% ,mwezi wa Desemba, 2022
huku idadi ya wateja/maunganisho ya Majisafi imeongezeka kutoka 28,133 (2020) hadi 40,549 (Desemba, 2022)
No comments:
Post a Comment